We offer students a well-rounded academic and Islamic studies education that prepares them to lead their communities. Our slogan is "Where Guidance Is Part of the Curriculum." Pongwe Islamic delivers the NECTA Curriculum in a Muslim context.
We enhance students' experience of each subject with Islam as a complete way of life. Additionally, we offer re-siter and PC level courses that students may complete for up to 15 college credits as they graduate from Pongwe Islamic Girls Secondary School
SHULE YA WASICHANA YA KIISLAMU YA PONGWE
Ni shule ya bweni kwa wasichana tu, kuanzia Kidato I - IV. Shule ipo Tanga mjini- umbali wa kilometa mbili (2) toka Pongwe karibu na shule ya Msingi Maranzara.Unaweza kufika shuleni kwa usafiri wa pikipiki kwa gharama ya shilingi (1000/=) kutokea Kituo cha basi Pongwe, Barabara kuu ya Tanga-Segera.
Mbali na kutoa elimu ya sekondari, shule imedhamiria;
-
Kuwawezesha mabinti wa Kiislamu kuitambua hadhi na Jukumu lao katika jamii.
-
Kuwaelimisha na kuwalea mabinti, ili kupata viongozi bora wa baadae katika ngazi ya familia na Taifa kwa ujumla.
-
Kujenga msingi wa wataalamu wa kike katika fani za sayansi ikiwemo utabibu.